Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 2 Wafalme 16:15
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 15 Na Mfalme Ahazi akatoa amri, naam, kwa Uriya+ kuhani, akisema: “Fukiza toleo la kuteketezwa la asubuhi+ juu ya ile madhabahu kubwa, pia toleo la nafaka la jioni+ na toleo la kuteketezwa la mfalme+ na toleo lake la nafaka na toleo la kuteketezwa la watu wote wa nchi na toleo lao la nafaka na matoleo yao ya kinywaji; na damu yote ya toleo la kuteketezwa na damu yote ya dhabihu unyunyize juu yake. Nayo ile madhabahu ya shaba nitaifikiria.”

  • Matendo 26:7
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 7 lakini makabila yetu kumi na mawili yanatumaini kufikia utimizo wa ahadi hii kwa kumtolea utumishi mtakatifu kwa juhudi nyingi usiku na mchana.+ Kuhusu tumaini hili ninashtakiwa+ na Wayahudi, Ewe mfalme.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki