Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Hesabu 14:31
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 31 “‘“Nao watoto wenu wadogo mliosema watakuwa nyara,+ hao pia hakika nitawaingiza, nao kwa kweli wataijua nchi ambayo mmeikataa.+

  • Yoshua 23:14
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 14 “Basi sasa, tazameni! leo mimi ninaenda katika njia ya dunia yote,+ nanyi mnajua vema kwa mioyo yenu yote na kwa nafsi zenu zote kwamba halikukosa kutimia hata neno moja kati ya maneno yote mema ambayo Yehova Mungu wenu amewaambia ninyi. Yote yametimia kwenu. Halikukosa kutimia hata neno moja kati ya hayo.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki