Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 2 Samweli 15:34
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 34 Lakini ukirudi jijini nawe umwambie Absalomu, ‘Mimi ni mtumishi wako, Ee mfalme. Nilikuwa mtumishi wa baba yako wakati ule, naam mimi, lakini sasa mimi, naam mimi, ni mtumishi wako,’+ ndipo utavunja+ shauri la Ahithofeli kwa ajili yangu.

  • Methali 22:29
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 29 Je, umemwona mtu stadi katika kazi yake? Yeye atasimama mbele ya wafalme;+ hatasimama mbele ya watu wa kawaida.

  • Mathayo 24:45
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 45 “Ni nani kwa kweli mtumwa mwaminifu na mwenye busara+ ambaye bwana wake alimweka rasmi juu ya watumishi wake wa nyumbani, awape chakula chao kwa wakati unaofaa?+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki