Yoshua 8:2 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 2 Mlitendee Ai na mfalme wake kama mlivyolitendea Yeriko na mfalme wake,+ lakini mnaweza kujichukulia nyara zake na mifugo yake. Wekeni watu watakaovizia nyuma ya jiji hilo.” Yoshua 8:27 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 27 Hata hivyo, Waisraeli walijichukulia mifugo na nyara za jiji kama Yehova alivyomwagiza Yoshua.+
2 Mlitendee Ai na mfalme wake kama mlivyolitendea Yeriko na mfalme wake,+ lakini mnaweza kujichukulia nyara zake na mifugo yake. Wekeni watu watakaovizia nyuma ya jiji hilo.”