-
Hesabu 36:6Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
6 Yehova ameamuru hivi kuhusu mabinti wa Selofehadi: ‘Wanaweza kuolewa na mtu yeyote wampendaye. Lakini wanapaswa kuolewa na mwanamume anayetoka katika ukoo wa kabila la baba yao.
-
-
Hesabu 36:12Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
12 Wakawa wake za wanaume kutoka katika koo za Manase mwana wa Yosefu, ili urithi wao ubaki katika kabila la baba yao.
-