-
1 Wafalme 2:5Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
5 “Pia unajua vizuri jambo ambalo Yoabu mwana wa Seruya alinitendea, jambo alilowatendea wakuu wawili wa majeshi ya Israeli, Abneri+ mwana wa Neri na Amasa+ mwana wa Yetheri. Aliwaua, na hivyo akamwaga damu+ ya vita wakati wa amani, akapaka damu ya vita kwenye mshipi uliokuwa kiunoni mwake na kwenye viatu alivyokuwa amevaa miguuni.
-
-
1 Wafalme 2:34Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
34 Kisha Benaya mwana wa Yehoyada akapanda kwenda huko, akampiga Yoabu na kumuua, akazikwa nyumbani kwake nyikani.
-