Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 2 Wafalme 24:6
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 6 Kisha Yehoyakimu akafa na kuzikwa pamoja na mababu zake;+ na Yehoyakini mwanawe akawa mfalme baada yake.

  • 2 Wafalme 24:8
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 8 Yehoyakini+ alikuwa na umri wa miaka 18 alipoanza kutawala, naye alitawala kwa miezi mitatu huko Yerusalemu.+ Mama yake aliitwa Nehushta binti ya Elnathani wa Yerusalemu.

  • 2 Wafalme 25:27
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 27 Na katika mwaka wa 37 tangu Mfalme Yehoyakini+ wa Yuda alipopelekwa uhamishoni, katika mwezi wa 12, siku ya 27 ya mwezi huo, Mfalme Evil-merodaki wa Babiloni, katika mwaka alioanza kutawala, alimwachilia huru Mfalme Yehoyakini wa Yuda kutoka gerezani.+

  • Esta 2:6
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 6 aliyekuwa miongoni mwa watu waliopelekwa uhamishoni kutoka Yerusalemu pamoja na Mfalme Yekonia*+ wa Yuda, ambaye Mfalme Nebukadneza wa Babiloni alimpeleka uhamishoni.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki