Mambo ya Walawi 9:12 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 12 Kisha Haruni akamchinja mnyama wa dhabihu ya kuteketezwa na wanawe wakampa damu, naye akainyunyiza pande zote za madhabahu.+
12 Kisha Haruni akamchinja mnyama wa dhabihu ya kuteketezwa na wanawe wakampa damu, naye akainyunyiza pande zote za madhabahu.+