Yoshua 7:21 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 21 Nilipoona katika nyara vazi rasmi maridadi kutoka Shinari+ na shekeli 200 za fedha na kipande kimoja cha dhahabu chenye uzito wa shekeli 50,* nilivitamani, kwa hiyo nikavichukua. Nimevificha ardhini ndani ya hema langu, na fedha ziko chini yake.” Yoshua Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012 7:21 w10 4/15 21; w04 12/1 11 Yoshua Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 7:21 Mnara wa Mlinzi (2010),4/15/2010, uku. 2112/1/2004, uku. 11
21 Nilipoona katika nyara vazi rasmi maridadi kutoka Shinari+ na shekeli 200 za fedha na kipande kimoja cha dhahabu chenye uzito wa shekeli 50,* nilivitamani, kwa hiyo nikavichukua. Nimevificha ardhini ndani ya hema langu, na fedha ziko chini yake.”