-
Waamuzi 20:42Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
42 Basi wakawakimbia wanaume Waisraeli na kuelekea nyikani, lakini Waisraeli wakawakimbiza na kuwashambulia; wanaume Waisraeli waliotoka majijini wakawashambulia pia na kuwaua.
-