-
2 Samweli 3:31Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
31 Kisha Daudi akamwambia Yoabu na watu wote waliokuwa pamoja naye: “Rarueni mavazi yenu na mvae nguo za magunia, mwombolezeeni Abneri kwa sauti.” Mfalme Daudi mwenyewe alikuwa akitembea nyuma ya machela ya kubebea maiti.
-