-
2 Mambo ya Nyakati 32:21Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
21 Ndipo Yehova akamtuma malaika, na malaika huyo akamwangamiza kabisa kila shujaa hodari,+ kiongozi, na mkuu katika kambi ya mfalme wa Ashuru, hivi kwamba akarudi katika nchi yake akiwa ameaibika. Baadaye aliingia katika nyumba ya* mungu wake, na humo baadhi ya wanawe mwenyewe wakamuua kwa upanga.+
-