-
Marko 8:38Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
38 Kwa maana awaye yote yule mwenye kuaibika juu yangu na maneno yangu katika kizazi hiki chenye uzinzi na chenye dhambi, Mwana wa binadamu ataaibika juu yake pia awasilipo katika utukufu wa Baba yake pamoja na malaika watakatifu.”
-