-
Matendo 13:16Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
16 Basi Paulo akasimama, akawapungia mkono, akasema:
“Wanaume, Waisraeli nanyi wengine mnaomwogopa Mungu, sikilizeni.
-
-
Matendo 13:16Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
16 Kwa hiyo Paulo akainuka, naye akipunga mkono wake, akasema:
“Wanaume, Waisraeli na nyinyi wengine ambao mwamhofu Mungu, sikieni.
-