-
Ufunuo 12:9Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
9 Kwa hiyo likavurumishwa chini hilo joka kubwa mno, nyoka wa awali, yeye aitwaye Ibilisi na Shetani, anayeiongoza vibaya dunia nzima inayokaliwa; akavurumishwa chini kwenye dunia, na malaika zake wakavurumishwa chini pamoja naye.
-