-
Ufunuo 21:6Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
6 Naye akasema nami akaniambia: “Yamekuwa! Mimi ndiye Alfa na Omega, mwanzo na mwisho. Kwa yeyote aliye na kiu hakika mimi nitampa kutoka kwenye bubujiko la maji ya uhai bure.
-