1 Wafalme 1:24 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 24 Ndipo Nathani akasema: “Bwana wangu mfalme, je, ni wewe mwenyewe uliyesema, ‘Adoniya ndiye atakayekuwa mfalme baada yangu, naye ndiye atakayeketi juu ya kiti changu cha ufalme’?+
24 Ndipo Nathani akasema: “Bwana wangu mfalme, je, ni wewe mwenyewe uliyesema, ‘Adoniya ndiye atakayekuwa mfalme baada yangu, naye ndiye atakayeketi juu ya kiti changu cha ufalme’?+