-
Yehova Aharibu Kiburi cha TiroUnabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Twaa kinubi, tembea mjini, Ewe kahaba uliyesahauliwa; piga vizuri, imba nyimbo nyingi, upate kukumbukwa tena.
-
-
Yehova Aharibu Kiburi cha TiroUnabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
23 Baada ya kuanguka kwa Babiloni mwaka wa 539 K.W.K., Foinike yawa koloni la Milki ya Umedi na Uajemi. Mtawala Mwajemi, Koreshi Mkuu, ni mtawala anayetoa uhuru zaidi. Chini ya utawala wake mpya, Tiro litaanza tena utendaji wake wa awali na kujitahidi sana kupata umaarufu wake wa kuwa kituo cha kibiashara—kama vile kahaba ambaye amesahauliwa na kupoteza wateja wake atafutavyo kuvutia wateja wapya kwa kutembea jijini, akipiga kinubi chake na kuimba nyimbo zake.
-