-
Maagano Yanayohusisha Kusudi la Milele la MunguMnara wa Mlinzi—1989 | Februari 1
-
-
8 Abrahamu alipokuwa katika Uru, Yehova alimwambia ahamie bara jingine, nalo likawa ni Kanaani. Wakati huo Yehova alimwahidi hivi Abrahamu: “Mimi nitafanyiza taifa kubwa kutoka kwa wewe na nitakubariki wewe na nitafanya jina lako kuwa kuu; . . . na jamaa zote za nchi kwa uhakika zitajibarikia zenyewe kupitia wewe.”a (Mwanzo 12:1-3, NW) Baada ya hapo, pole kwa pole Mungu aliongeza mambo mengine mengi kwenye lile ambalo kwa kufaa tunalinena kuwa agano la Kiabrahamu: mbegu ya Abrahamu, au mrithi, ingerithi lile Bara Lililoahidiwa; mbegu yake ingeongoza kwenye wazao wasiohesabika; Abrahamu na Sara wangekuwa ndicho chanzo cha wafalme.—Mwanzo 13:14-17; 15:4-6; 17:1-8, 16, NW; Zaburi 105:8-10.
-
-
Maagano Yanayohusisha Kusudi la Milele la MunguMnara wa Mlinzi—1989 | Februari 1
-
-
a Hili ni agano lenye kuhusisha upande mmoja tu, kwa kuwa ni mtu mmoja tu (Mungu) aliyejikabidhi wajibu wa kutekeleza masharti yalo.
-