Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ssb wimbo na. 221
  • Vijana! Fuateni Mfano wa Imani Yao

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Vijana! Fuateni Mfano wa Imani Yao
  • Mwimbieni Yehova Sifa
  • Habari Zinazolingana
  • ‘Aliendelea Kukua Akiwa na Yehova’
    Igeni Imani Yao
  • ‘Aliendelea Kukua Akiwa na Yehova’
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2010
  • Samweli Alifanya Yaliyo Sawa
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2008
  • Samweli Anaendeleza Ibada ya Kweli
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2007
Pata Habari Zaidi
Mwimbieni Yehova Sifa
Ssb wimbo na. 221

Wimbo 221

Vijana! Fuateni Mfano wa Imani Yao

(Waebrania 6:12)

1. Kijana Samweli kaenda Shilo

Atumike hekaluni mwa Mungu.

Akawa nabii wa Israeli,

Munadhiri, kaheshimu Yehova.

Wana wa Eli wakawa wabaya.

Je! Samweli kijana apotoshwe?

La, ni mwaminifu; naye atii.

Naye hakumwacha Yehova kamwe.

2. Kijana Timotheo, alijua

Maandiko, ili awe muzee.

Alitenda mambo aliyofunzwa.

Alitaka kubaki mwaminifu.

Akawa na sifa njema kundini,

Alipendekezwa bila kupingwa.

Kapendelewa kwenda na Paulo;

Na alikuwa baraka kwa wote.

3. Kisichana Mwisraeli na yeye

Aliamini Yehova kabisa.

Ajapotekwa, kawa mwaminifu;

Aliwasaidia wengineo.

Kajulisha mukeye Naamani:

’Nabii wa Yehova anaponya.’

Naamani akamusikiliza.

Akabarikiwa kwa tendo hilo.

4. Nanyi ndugu, nanyi dada wachanga,

Fuateni mifano hiyo myema.

Tunayo amana “siku za mwisho.”

Yehova amechagua wajumbe.

Vijana, mwingie, mupige vita

Pamoja na watumishi wa Mungu

Tutangaze onyo na sifa yake

Na kuthawabishwa hapo mwishoni.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki