Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutoka 2:23
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 23 Baada ya muda mrefu,* mfalme wa Misri akafa,+ lakini Waisraeli wakaendelea kulia kwa uchungu kwa sababu ya utumwa na kupaza kilio cha malalamishi, na kilio chao cha kuomba msaada kwa sababu ya utumwa kikaendelea kupanda juu kwa Mungu wa kweli.+

  • Matendo 7:6
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 6 Isitoshe, Mungu alimwambia kwamba wazao* wake wangekuwa wageni katika nchi ambayo si yao na kwamba watu wa nchi hiyo wangewafanya kuwa watumwa na kuwatesa* kwa miaka 400.+

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki