-
Kutoka 28:28Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
28 Pete za kifuko cha kifuani zitafungwa pamoja na pete za efodi kwa kamba ya bluu. Hivyo, kifuko cha kifuani kitabaki mahali pake kwenye efodi, juu ya mshipi uliofumwa.
-
-
Kutoka 39:15Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
15 Kisha wakakitengenezea kifuko cha kifuani minyororo iliyosokotwa, kama kamba za dhahabu safi.+
-
-
Kutoka 39:21Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
21 Hatimaye, wakafunga pete za kifuko cha kifuani pamoja na pete za efodi kwa kamba ya bluu, ili kifuko cha kifuani kibaki mahali pake kwenye efodi, juu ya mshipi uliofumwa, kama Yehova alivyomwamuru Musa.
-