-
Kutoka 35:21Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
21 Basi kila mtu ambaye moyo wake ulimsukuma+ na kila mtu aliyechochewa na roho yake akaja na kumletea Yehova mchango ili utumiwe katika kazi ya hema la mkutano, yaani, katika utumishi wake wote, na kwa ajili ya mavazi matakatifu.
-
-
Kutoka 35:26Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
26 Na wanawake wote wenye ustadi ambao walisukumwa na mioyo yao wakasokota manyoya ya mbuzi.
-