-
Kutoka 10:23Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
23 Hawakuonana, na kwa siku tatu hakuna yeyote kati yao aliyeondoka mahali alipokuwa; lakini Waisraeli wote walikuwa na mwangaza katika makao yao.+
-
-
Kutoka 12:13Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
13 Ile damu itakuwa ishara inayoonyesha nyumba mtakazokuwamo; nami nitaiona damu hiyo na kupita juu yenu, na pigo halitawajia na kuwaangamiza ninyi nitakapoipiga nchi ya Misri.+
-