-
Kutoka 12:30Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
30 Farao akaamka usiku huo pamoja na watumishi wake wote na Wamisri wengine wote, na kulikuwa na kilio kikubwa sana miongoni mwa Wamisri, kwa sababu hapakuwa na nyumba hata moja ambayo haikuwa na mtu aliyekufa.+
-