Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kumbukumbu la Torati 4:15-18
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 15 “Kwa hiyo, jihadharini sana—kwa sababu hamkuona umbo lolote siku ambayo Yehova alizungumza nanyi kule Horebu kutoka katikati ya moto— 16 ili msitende upotovu kwa kujitengenezea sanamu ya kuchongwa yenye umbo la mfano wowote, mfano wa mwanamume au mwanamke,+ 17 mfano wa mnyama yeyote duniani au mfano wa ndege yeyote anayeruka angani,+ 18 mfano wa kitu chochote kinachotambaa ardhini au mfano wa samaki yeyote aliye ndani ya maji chini ya dunia.+

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki