Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutoka 34:9
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 9 Kisha akasema: “Ikiwa sasa nimepata kibali machoni pako, Ee Yehova, sasa tafadhali, Yehova, nenda pamoja nasi uwe kati yetu,+ ingawa sisi ni watu wakaidi,*+ utusamehe makosa yetu na dhambi zetu,+ nawe utuchukue kuwa mali yako mwenyewe.”

  • Kumbukumbu la Torati 9:6
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 6 Basi, mjue kwamba Yehova Mungu wenu hawapi nchi hii nzuri mwimiliki kwa sababu ya uadilifu wenu; kwa maana ninyi ni watu wakaidi.*+

  • Matendo 7:51
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 51 “Ninyi watu wagumu na wasiotahiriwa katika mioyo na masikio, sikuzote mnaipinga roho takatifu; kama mababu zenu walivyofanya, ndivyo mnavyofanya pia.+

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki