-
Kumbukumbu la Torati 9:28Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
28 Kama sivyo watu wa nchi ulimotutoa huenda wakasema: “Yehova alishindwa kuwaingiza katika nchi aliyowaahidi, na kwa sababu aliwachukia, aliwatoa ili awaue nyikani.”+
-