Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Nehemia 9:18
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 18 Hata walipojitengenezea sanamu ya ndama wa chuma* na kusema, ‘Huyu ndiye Mungu wenu aliyewaongoza kutoka Misri,’+ nao wakatenda matendo makubwa ya ukosefu wa heshima,

  • Zaburi 106:19, 20
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 19 Walitengeneza ndama kule Horebu

      Na kuiinamia sanamu ya chuma;*+

      20 Waliubadili utukufu wangu

      Kwa mfano wa ng’ombe dume anayekula nyasi.+

  • Matendo 7:41
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 41 Ndipo wakatengeneza ndama siku hizo na kuiletea sanamu hiyo dhabihu nao wakaanza kufurahia kazi za mikono yao.+

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki