Kumbukumbu la Torati 9:21 Tafsiri ya Ulimwegu Mpya 21 Halafu nikachukua kile kitu cha dhambi mlichokitengeneza, yule ndama,+ na kumteketeza kwa moto; nikamponda na kumsagasaga kabisa mpaka akawa laini kama mavumbi, nami nikayatupa mavumbi hayo katika kijito kinachotiririka kutoka mlimani.+
21 Halafu nikachukua kile kitu cha dhambi mlichokitengeneza, yule ndama,+ na kumteketeza kwa moto; nikamponda na kumsagasaga kabisa mpaka akawa laini kama mavumbi, nami nikayatupa mavumbi hayo katika kijito kinachotiririka kutoka mlimani.+