-
Hesabu 16:47Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
47 Mara moja Haruni akachukua chetezo, kama Musa alivyomwambia, akakimbia katikati ya kusanyiko hilo, na pigo lilikuwa limeanza kuwaathiri watu. Basi akaweka uvumba juu ya chetezo, akaanza kuufukiza ili dhambi yao ifunikwe.
-
-
Kumbukumbu la Torati 9:18Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
18 Kisha nikalala kifudifudi mbele za Yehova kwa siku 40, mchana na usiku, kama nilivyofanya mwanzoni. Sikula chakula wala kunywa maji,+ kwa sababu ya dhambi zote mlizokuwa mmetenda kwa kufanya uovu machoni pa Yehova na kumkasirisha.
-