-
Mambo ya Walawi 4:8, 9Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
8 “‘Kisha ataondoa mafuta yote ya huyo ng’ombe dume wa dhabihu ya dhambi, pamoja na mafuta yanayofunika matumbo na mafuta yanayozunguka matumbo, 9 na figo zake mbili pamoja na mafuta yake yaliyo karibu na kiuno. Ataondoa pia figo pamoja na mafuta yaliyo juu ya ini.+
-