-
Mambo ya Walawi 8:33Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
33 Hampaswi kutoka nje ya mlango wa hema la mkutano kwa siku saba, mpaka siku zenu za kuwekwa rasmi kuwa makuhani zitakapokwisha, kwa sababu itachukua muda wa siku saba kuwaweka rasmi kuwa makuhani.+
-