-
Mambo ya Walawi 4:11, 12Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
11 “‘Lakini ngozi ya ng’ombe dume huyo na nyama yake yote pamoja na kichwa chake, miguu yake, matumbo yake, na mavi yake+— 12 sehemu zote zinazobaki za ng’ombe dume huyo—atazipeleka mahali safi nje ya kambi, mahali ambapo majivu* hutupwa, naye ataziteketeza kwa moto juu ya kuni.+ Zinapaswa kuteketezwa mahali ambapo majivu hutupwa.
-
-
Waebrania 13:11Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
11 Kwa maana miili ya wanyama ambao kuhani mkuu hupeleka damu yao ndani ya mahali patakatifu kama toleo la dhambi huteketezwa nje ya kambi.+
-