-
Mambo ya Walawi 13:50Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
50 Kuhani atachunguza ugonjwa huo, naye anapaswa kulitenga vazi hilo lenye ugonjwa kwa siku saba.+
-
-
Mambo ya Walawi 14:38Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
38 basi kuhani atatoka nje ya mlango wa nyumba hiyo na kuifunga kwa siku saba.+
-
-
Hesabu 12:15Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
15 Kwa hiyo Miriamu akatengwa nje ya kambi kwa siku saba,+ na watu hawakuendelea na safari hadi Miriamu aliporudishwa kambini.
-