Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mwanzo 35:22
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 22 Siku moja, Israeli alipokuwa akiishi katika nchi hiyo, Rubeni alienda na kulala na Bilha suria wa baba yake, naye Israeli akasikia habari hizo.+

      Basi Yakobo alikuwa na wana 12.

  • Mwanzo 49:4
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 4 Kwa vurugu kama maji yenye msukosuko, hutafanikiwa, kwa sababu ulikipanda kitanda cha baba yako.+ Wakati huo ulikichafua* kitanda changu. Kwa kweli alikipanda kitanda changu!

  • Mambo ya Walawi 20:11
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
  • Kumbukumbu la Torati 27:20
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 20 “‘Amelaaniwa mtu anayefanya ngono na mke wa baba yake, kwa sababu amemwaibisha baba yake.’*+ (Na watu wote watasema, ‘Amina!’)

  • 2 Samweli 16:21
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 21 Basi Ahithofeli akamwambia Absalomu: “Fanya ngono na masuria wa baba yako,+ aliowaacha waitunze nyumba.*+ Kisha Waisraeli wote watasikia kwamba umekuwa uvundo kwa baba yako, na wale wanaokuunga mkono watapata nguvu.”

  • 1 Wakorintho 5:1
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki