Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mambo ya Walawi 20:21
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 21 Mwanamume akimchukua mke wa ndugu yake, ni jambo linalochukiza sana.+ Amemwaibisha ndugu yake.* Hawatazaa mtoto.

  • Kumbukumbu la Torati 25:5
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 5 “Ikiwa ndugu wanaishi pamoja na mmoja wao afe bila mwana, mke wa yule aliyekufa hapaswi kuolewa na mwanamume mwingine nje ya ukoo huo. Ndugu ya mume wake anapaswa kwenda kwake, amchukue awe mke wake, na kufunga naye ndoa ya ndugu mkwe.+

  • Marko 6:17, 18
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 17 Kwa maana Herode alikuwa ameagiza Yohana akamatwe na kufungwa gerezani kwa sababu ya Herodia, mke wa Filipo ndugu yake. Kwa sababu Herode alikuwa amemwoa.+ 18 Kwa maana Yohana alikuwa akimwambia Herode: “Si halali kwako kuwa na mke wa ndugu yako.”+

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki