Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutoka 20:10
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 10 lakini siku ya saba ni sabato kwa Yehova Mungu wako. Usifanye kazi yoyote, wewe wala mwana wako wala binti yako wala mtumwa wako wala kijakazi wako wala mnyama wako wa kufugwa wala mgeni aliye katika makazi* yako.+

  • Kutoka 31:13
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 13 “Waambie Waisraeli, ‘Mnapaswa hasa kushika sabato zangu,+ kwa maana ni ishara kati yangu pamoja nanyi katika vizazi vyenu ili mjue kwamba mimi, Yehova, ninawatakasa ninyi.

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki