-
Kutoka 28:38Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
38 Nalo litakuwa kwenye paji la uso wa Haruni, naye Haruni atawajibika Mwisraeli anapotenda kosa dhidi ya vitu vitakatifu+ vinavyotakaswa na Waisraeli wakati wanapovitoa kuwa zawadi takatifu. Ni lazima bamba hilo likae sikuzote kwenye paji la uso wake, ili wapate kibali mbele za Yehova.
-
-
Hesabu 18:32Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
32 Hamtakuwa na hatia ya dhambi maadamu mnanitolea vitu bora kutoka katika zawadi hizo, nanyi hampaswi kuchafua vitu vitakatifu vya Waisraeli, msije mkafa.’”+
-