-
Kumbukumbu la Torati 15:19Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
19 “Unapaswa kumtakasa kila mzaliwa wa kwanza wa kiume wa ng’ombe wako na kondoo wako kwa ajili ya Yehova Mungu wako.+ Usimtumie mzaliwa wa kwanza wa ng’ombe dume wako kufanya kazi yoyote wala usimkate manyoya mzaliwa wa kwanza wa kondoo wako.
-
-
Kumbukumbu la Torati 15:21Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
21 Lakini ikiwa ana kasoro, yaani, ni mlemavu, ni kipofu, au ana kasoro nyingine kubwa, usimtoe dhabihu kwa Yehova Mungu wako.+
-
-
Kumbukumbu la Torati 17:1Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
17 “Usimtolee Yehova Mungu wako dhabihu ya ng’ombe dume au kondoo mwenye kasoro au mwenye tatizo lolote, kwa sababu jambo hilo litakuwa chukizo kwa Yehova Mungu wako.+
-
-
Malaki 1:8Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
8 Na mnapomtoa mnyama kipofu kuwa dhabihu, mnasema: “Si vibaya.” Na mnapomtoa mnyama kilema au mgonjwa mnasema: “Si vibaya.”’”+
“Tafadhali, jaribuni kumtolea gavana wenu vitu hivyo. Je, atapendezwa nanyi au kuwapokea ninyi kwa kibali?” asema Yehova wa majeshi.
-