-
Kutoka 21:12Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
12 “Yeyote anayempiga mtu na kumuua lazima auawe.+
-
-
Kumbukumbu la Torati 19:11-13Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
11 “Lakini ikiwa mtu alikuwa akimchukia jirani yake,+ akamvizia, akamjeruhi vibaya sana na kumuua, na mtu huyo amekimbilia katika mojawapo ya majiji hayo, 12 basi wazee wa jiji lake wanapaswa kumwita kutoka humo na kumtia mikononi mwa yule anayelipiza kisasi cha damu, naye lazima afe.+ 13 Hampaswi kumhurumia,* nanyi lazima mwondoe hatia ya damu isiyo na hatia kutoka katika Israeli,+ ili mambo yawaendee vyema.
-