-
Mambo ya Walawi 27:24Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
24 Katika mwaka wa Mwadhimisho wa Miaka 50, shamba litarudishwa kwa yule aliyeliuza, kwa mtu ambaye shamba hilo ni mali yake.+
-
-
Hesabu 36:4Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
4 Waisraeli wanapofanya Mwadhimisho wa Miaka 50,+ urithi wa wanawake hao utaongezwa kwenye urithi wa kabila walimoolewa, na hivyo urithi wao utaondolewa kutoka katika urithi wa kabila la baba zetu.”
-
-
Kumbukumbu la Torati 15:1Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
15 “Mwishoni mwa kila miaka saba mnapaswa kufuta madeni.+
-