-
Mambo ya Walawi 27:11, 12Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
11 Ikiwa ni mnyama asiye safi+ ambaye hawezi kutolewa kwa Yehova, mnyama huyo atapelekwa mbele ya kuhani. 12 Halafu kuhani atakadiria thamani yake, ataamua ikiwa ni mzuri au mbaya. Thamani itakayokadiriwa na kuhani ndiyo itakayokuwa thamani ya mnyama huyo.
-
-
Mambo ya Walawi 27:18Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
18 Ikiwa atalitakasa shamba lake baada ya mwaka wa Mwadhimisho wa Miaka 50, kuhani atakadiria bei kulingana na miaka inayobaki kabla ya mwadhimisho unaofuata wa miaka 50, naye atapunguza thamani iliyokadiriwa.+
-