Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutoka 13:2
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 2 “Nitakasie* kila mzaliwa wa kwanza wa kiume wa Waisraeli. Mzaliwa wa kwanza wa kiume wa mwanadamu na mnyama ni wangu.”+

  • Hesabu 18:17
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 17 Lakini hupaswi kumkomboa+ ng’ombe dume ambaye ni mzaliwa wa kwanza au mwanakondoo dume ambaye ni mzaliwa wa kwanza au mbuzi ambaye ni mzaliwa wa kwanza. Hao ni watakatifu. Unapaswa kunyunyiza damu yao kwenye madhabahu,+ na mafuta yao unapaswa kuyateketeza ili yafuke moshi yakiwa dhabihu inayochomwa kwa moto yenye harufu inayompendeza* Yehova.+

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki