-
Hesabu 34:13Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
13 Kwa hiyo Musa akawapa Waisraeli maagizo haya: “Hiyo ndiyo nchi mtakayoigawanya kwa kura na kuimiliki,+ kama Yehova alivyoamuru kwamba makabila tisa na nusu yapewe nchi hiyo.
-
-
Yoshua 18:6Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
6 Igawanyeni nchi katika maeneo saba na kuniletea ramani yake, nami nitawapa urithi kwa kupiga kura+ mbele za Yehova Mungu wetu.
-