-
Kutoka 29:38Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
38 “Hivi ndivyo vitu utakavyotoa kwenye madhabahu: kila siku, kwa kuendelea,+ utatoa wanakondoo dume wawili wenye umri wa mwaka mmoja.
-
-
Mambo ya Walawi 6:9Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
9 “Mwamuru hivi Haruni na wanawe: ‘Hii ndiyo sheria kuhusu dhabihu ya kuteketezwa:+ Dhabihu ya kuteketezwa itakaa usiku kucha motoni juu ya madhabahu mpaka asubuhi, hakikisheni kwamba moto wa madhabahu unaendelea kuwaka.
-
-
Ezekieli 46:15Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
15 Wanapaswa kumtoa mwanakondoo dume, toleo la nafaka, na mafuta kila asubuhi kama dhabihu nzima ya kuteketezwa ya kawaida.’
-