Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutoka 6:16
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 16 Haya ndiyo majina ya wana wa Lawi,+ kulingana na koo zao: Gershoni, Kohathi, na Merari.+ Lawi aliishi miaka 137.

  • Hesabu 26:57
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 57 Sasa hawa ndio Walawi walioandikishwa+ kulingana na koo zao: kutoka kwa Gershoni, ukoo wa Wagershoni; kutoka kwa Kohathi,+ ukoo wa Wakohathi; kutoka kwa Merari, ukoo wa Wamerari.

  • 1 Mambo ya Nyakati 23:6
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 6 Kisha Daudi akawapanga* katika vikundi+ kulingana na wana hawa wa Lawi: Gershoni, Kohathi, na Merari.+

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki