-
Mambo ya Walawi 1:13Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
13 Ataosha matumbo na miguu yake kwa maji, kisha kuhani atavileta vyote na kuvichoma moto ili vifuke moshi kwenye madhabahu. Ni dhabihu ya kuteketezwa, dhabihu inayochomwa kwa moto yenye harufu inayompendeza* Yehova.
-