-
Kutoka 12:15Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
15 Kwa siku saba mtakula mikate isiyo na chachu.+ Naam, siku ya kwanza mtaondoa nyumbani mwenu unga uliokandwa wenye chachu, kwa sababu mtu yeyote atakayekula kitu kilichotiwa chachu kuanzia siku ya kwanza mpaka siku ya saba, ni lazima auawe kutoka katika Israeli.
-
-
1 Wakorintho 5:8Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
8 Basi na tufanye sherehe,+ si kwa chachu ya zamani, wala kwa chachu ya ubaya na uovu, bali kwa mikate isiyo na chachu ya unyoofu na kweli.
-