Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mambo ya Walawi 7:16
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 16 “‘Ikiwa dhabihu anayotoa ni kwa ajili ya nadhiri+ au ni toleo la hiari,+ inapaswa kuliwa siku ambayo anatoa dhabihu hiyo, na nyama inayobaki inaweza pia kuliwa siku inayofuata.

  • Mambo ya Walawi 22:21
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 21 “‘Mtu akimtolea Yehova dhabihu ya ushirika+ ili kutimiza nadhiri au akiitoa ikiwa toleo la hiari, anapaswa kutoa mnyama asiye na kasoro kutoka katika mifugo yake au kundi lake, ili apate kibali. Mnyama huyo hapaswi kuwa na kasoro yoyote.

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki